G1 Mapinduzi Kwanza moded unlimitted apk - Download latest version 0.1

G1 Mapinduzi Kwanza moded unlimitted apk - Download latest version 0.1


G1 Mapinduzi Kwanza.apk 0.1
Name: G1 Mapinduzi Kwanza apk
ID: com.wg1mapinduzikwanza
Version: 0.1
Size: 0 Mb
Android Version: 2.3 and up



G1 Mapinduzi Kwanza Screenshots

How to mod G1 Mapinduzi Kwanza patch 0.1 apk for android
How to install G1 Mapinduzi Kwanza 0.1 apk for pc
How to install G1 Mapinduzi Kwanza lastet apk for android

What's new in G1 Mapinduzi Kwanza 0.1

Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza imeanzishwa chini ya sharia namba (6) ya mwaka 1995 Kikundi kimeanzishwa kwa lengo la kujitambua na kusaidiana na kusaidia jamii inayotuzunguka hasa vijana kina mama wazee na watoto. Sisi ni wana Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza ambao tunaoishi Zanzibar na Tanzania bara pamoja na walokuwa nje ya Tanzania kwa umoja wetu tumeanzisha Kikundi hichi bila ya kushawishiwa na mtu
Kikundi hiki kitakua ni chambo madhubuti cha kutuunganisha
1. DIRA
Kuwa na jamii ya watu wenye uelewa na muamko wa kimaendeleo katika Nyanja za kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni ili kutokomeza ujinga umasikini na maradhi.
2. MUELEKEO
Kuhakikisha kwamba jamii ya watu wa Zanzibar na Tanzania wanaelimika na kuhamasika katika harakati za kujiletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla
3. MALENGO
Kikundi hiki kimeanzishwa ili kutekeleza malengo yafuatayo:-
i. Kujenga mazingira mazuri yatakayosaidia kukuza mahusiano na kuelewana na kukuza udugu
ii. Kuanzisha na kusimamia miradi ya kikundi cha G1 Mapinduzi kwanza na shughuli mbalimbali za kimaendeleo
iii. Kuwaunganisha Watanzania wa ndani na nnje kwa kutumia mitandao ya kijamii Whatsapp, Facebook, Instagram na Twitter ili kusaidia maendeleo ya Taifa kwa ujumla
iv. Kuwajengea uwezo wa kiunshindani vijana wajasiriamali na kutangaza kazi zao
v. Kuhimiza ushiriki na ushirikishwaji wa wana kikundi wote yanapotokezea matukio ya shida, furaha, ugonjwa na matatizo mbali mbali ya kijamii
G1 Mapinduzi Kwanza | 6 Reviewers | | Rating: 4.5

Download G1 Mapinduzi Kwanza 0.1 unlimited APK




Search terms:
How to mod G1 Mapinduzi Kwanza lastet apk for bluestacks
Download G1 Mapinduzi Kwanza mod apk for android
G1 Mapinduzi Kwanza 0.1 modded apk
G1 Mapinduzi Kwanza full mod apk

Previous Post
Next Post